Wanamgambo 19 wa kundi la Taliban wameuawa katika operesheni ilioendeshwa Hoca Sabzpoş Faryab Kaskzini mwa Afghanistan.
Abdullah Masumi, gavana wa Faryab amethibitisha kuwa wanamgambo 19 wa kundi la Taliban waliuawa katika operesheni Kaskazini mwa Afghanistan.
Wanamgambo 23 na askari wawili wamejeruhiwa katika makabiliano yaliotokea Şayhi.
No comments:
Post a Comment