Monday, January 15, 2018

15 January 2018,Watu wasiopungua 26 wafariki ,90 kujeruhiwa kwa mashambulizi yakujitoa muhanga nchini Iraq

Taarifa kutoka mjini Baghdad zafahamisha kuwa mashambulizi mawili ya kujitoa muhanga ambayo yametekeşlezwa mjini humo yamepelekea vifo vya watu 26.

Saad Maan, msemaji wa wizara ya mambo ya ndani wa Irak amesema kuwa watu zaidi ya 90 wamejeruhiwa katika shambulizi hilo ambalo limetekelezwa Tayaran Sahası mjini kati Baghdad.

Majeruhiwa wa shambulizi hilo wamepelekwa katika vituo vya afya ambavyovinapatikana karibu na eneo la tukio.

No comments: