Msichana wa kipalestina kwa jina la Ahed al Tamimi aliekamatwa na jeshi la Israel akiandamana kaupinga uamuzi wa rais wa Marekani kutandanga kuwa mjini wa Jerusalem ni mji mkuu wa Israel ameongezewa muda wa kuzuiliwa na mahakama ya Israel.
Tamimi mwenye umri wa miaka 16 ameongozewa muda wa kuzuiliwa kwa muda wa masaa 48.
Msichana huyo amezuiliwa kufuatia uchunguzi ambao umefahamishwa na jeshi la Israel bado hauajakamilika.
Ni mara ya nne kesi inayomkabili Ahed kuahirishwa.
Mahakama ya Ufar Magharibi mwa Ukingo wa Magharibi imefahamisha kuwa kesi ya Tamimi itasikilizwa kwa mara nyingine Januari 17 ikidai kuwa inaendelea na mahojiano.
No comments:
Post a Comment