Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.0 limeikumba Iran
Kwa mujibu wa habari,takriban watu 42 wamejeruhiwa huku majumba mengi yakiwa yameangamia vibaya.
Ripoti zimeonyesha kuwa hakuna aliyepoteza maisha katika tetemeko hilo.
Timu ya uokoaji imetumwa katika eneo la Kerman kusaidia baada ya tetemeko hilo kutokea.
Wakazi wengi wameyakimbia makazi yao kwa hofu ya kutokea kwa tetemeko jingine.
Mji wa Kerman una takriban idadi ya watu 821,000.
No comments:
Post a Comment