Thursday, November 16, 2017

16 November 2017,Waamerika kuaandaa Pre-world Cup

Waamerika huenda wakaandaa  Pre-world Cup kwa mataifa ambayo hayakufuzu kombe la dunia

Mtandao wa ESPN  umefichua kuwa Taifa la Donald Trump, USA....huenda likaandaa mechi zitazohusisha timu ambazo hazikufuzu kombe la dunia kabla ya kufanyika michuano hiyo.

Miongoni mwa tim ambazo huenda zikashiriki ni USA yenyewe, Uholanzi, Italy, Chile na Ghana

Ndo wanasema kuchanika kwa Jamvi sio mwisho wa maongezi.

No comments: