Familia ya mbunge wa Singida mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Upinzani nchini Tundu Lissu, imelilalamikia jeshi la polisi la nchi kutokana na hatua yake ya kuchelewa katika kufanya uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi ndugu yao.
Kwa mujibu wa wanafamilia hao, kwa kuzingatia kuwa awali Lissu alikuwa ameelezea suala la yeye kufuatiliwa na watu wasiojilikana, hivyo kufahamika kwa wahusika wa hujuma dhidi yake lingekuwa jambo lepesi.
Kadhalika ndugu wa Tundu Lissu wamewataka polisi kushirikiana na vyombo vingine vya kimataifa ili kuwabaini wahusika.
Admit Silvano Kayera
No comments:
Post a Comment