Sunday, October 1, 2017

1 October 2017,TANZIA:E-fm,TV-E waondokewa na mmoja kati ya watangazaji wao

TANZIA: Uongozi na wafanyakazi wa E-fm,  TV -E kwa majonzi na masikitiko wametangaza kuondokewa na mwanafamilia mwenzao Dennis Rupia (Chogo) aliyefariki Dunia baada ya kuugua kwa kipindi cha muda mfupi.

Tutaendelea kukufahamisha taratibu za kumpumzisha mpendwa wao kupitia vyanzo mbalimbali.

Hakika ni kipindi kigumu kwao na wasikilizaji wa Redio na familia kwa ujumla tuendelee kumuombea mpendwa wetu.

Pumzika Kwa Amani Dennis

No comments: