Monday, September 4, 2017

4 September 2017,Zaidi ya watu 20 wafariki katika shambulizi la kigaidi kusini mwa Somalia

Watu zaidi ya 20 wameripotiwa kufariki katika shmbulizi lililotekelezwa na kundi la wanamambo wa al Shabab katika mkoa wa Lower Juba Kusini mmwa Somalia.

Kwa mujibu wa taarifa zilzitolewa na vyanzo vya habri katika eneo la tukio zilifahamisha kuwa wanamgambo wa kundi la Al shabaab walishambulia kambi mbili na kuwauawa askari 20.

Wanagambo wa al shabab walivamia na kusambulia kituo kimoja cha jeshi Bula Gudud katika umbali wa kilomita 30 Kaskazini mwa Kismayo.

No comments: