Mwanamke tajiri kuliko wote duniani Liliane Bettencourt amefariki dunia akiwa na umri wa 94 .
Liliane Bettencour aliyekuwa mmiliki wa shirika la vipodozi la L'Oreal amefariki akiwa amelala nyumbani kwake.
Taarifa za kifo chake zimetolewa na mtoto wake wa kike Francoise Bettencourt.
Kwa mujibu wa habari,baba yake marehemu Eugène Schueller alianzisha kampuni hiyo mwaka 1990 ambayo baadae ilibadilishwa jina kuwa L'Oreal na kuonyesha mafanikio makubwa.
Liliane Bettencourt alikuwa tajiri wa 14 duniani.
No comments:
Post a Comment