Thursday, September 21, 2017

21 September 2017,Madaktari wawa kikwazo cha Lissu kusafiri kwenda Marekani

Siku 15 sasa zimepita tangu Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu apigwe risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Dodoma kisha kupelekwa kwenye matibabu katika Hospitali ya Nairobi Kenyahuku watu wa jamii mbalimbali wamekuwa wakihamasishwa kuchangia huduma za matibabu yake.

Watu mbalimbali wameendelea kumtembelea Lissu Hospitali kumjulia hali na miongoni mwao ni Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu ambaye kupitiaaccount zake za Twitter na Facebook ameeleza kuwa wanasubiri ripoti ya Madaktari kujua mwenendo wa matibabu ilikuwapatia madaktari bingwa wa Marekani

No comments: