Balozi
wa Tanzania Nchini Brazil Dk Emmanuel Nchimbi amesaini mkataba huo
kwaniaba ya Tanzania huku Wakili wa Hazina ya Taifa Dk Sonia Portella
Nunes akisaini kwa niaba ya Serikali ya Brazil.
Balozi Nchimbi ameishukuru Serikali ya Brazil kwa msamaha huo ambao amesema umeunga mkono jitihada za Rais Dk. John Magufuli kujenga uchumi imara wa Tanzania.

Balozi Nchimbi pia ameuhakikishia Serikali
ya Brazil utayari wa Tanzania katika kuimarisha ushirikiano wa
kibiashara na uchumi na Brazil.
Hivyo kuanzia sasa kampuni za Brazil zinaruhusiwa kukopa katika Benki za Brazil kwa ajili ya kutekeleza miradi nchini Tanzania lakini pia Serikali ya Tanzania inaruhusiwa kuanzisha majadiliano ya miradi mipya ya maendeleo.
Admit Mwananchi

No comments:
Post a Comment