Polisi ya uhamiaji ya Ubelgiji yamfukuza raia wa Danmark kwa kugoma kuvua niqab
Raia mmoja wa Danmrak alikuwa akituo mjini Tunis amegoma kuvua niqab na matokeo yake amefukuzwa nchini Ubelgiji.
Polisi ya uhamiaji nchini Ubelgiji imefahmisha kuwa raia huyo wa Danmark aligoma kuvua niaqab yake jambo ambalo lilitatiza msafiri huyo kutambulika kuwa mmiliki wa hati ya usafiri.
Katibu mkuu wa uhamiaji Theo Francken alitoa taarifa hiyo katika ukurasa wa Facebook.
Mwaka 2015 Polisi ya Ubelgiji ilimkamata mwanamke mmoja kutoka Saudia Arabia kwa kuvaa niqab na kuachiwa baada ya ubalozi wa Riyadh kuingilia kati

No comments:
Post a Comment