Watu zaidi ya 50 wamefariki katika mapigano yaliotokea Kusini MasharikiyaKati o mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya congo.
Karibu wa shirika la kiraia la Tanganyika ameliambia shirika la habari la Anadolu Kuwa watu zaidi ya 50 wamefariki kufuatia mapigano yaliotokea baina ya jamii mbili tofauti katika Kijiji cha Lambukilela kusini-Mashariki mwa DR Congo.
Taarifa zinafahamisha Kuwa jamii ya wabantu ilivamia eneo ambalo lilikuwa likimilikiwa n'a jamii nyingine Alhamis.
Eneo hilo la Lambukilela kunapatikana idadi kubwa ya watu kutoka jamii ya wabantu
No comments:
Post a Comment