Sunday, August 20, 2017

20 August 2017, Watu kadhaa wauawa katika maandamano ya upinzani nchini Togo

watu 7 waripotiwa kufariki na wengine kujeruhiwa katika maandamano yaliotolewa wito na upinzani nchini Togo.

Maandamano hayo ya upinzani yalitolewa wito na upinzani  ambao ulifahamisha kuwa ulitoa wito wa  maandaman ukitaka kurejeshwa na katiba ya mwaka 1992.

Polisi iliingilia kati maandamano hayo na kusababisha ghasia baana ya Polisi na waandamanaji.

Hakuna taarifa iliotolewa  rasmi kuhusu watu waliofariki katika maandamanao hayo.

No comments: