Friday, August 18, 2017

18 August 2017,Mwanamume kutoka Uturuki kuwania umeya nchini Ujerumani

Mwanamume wa Kituruki anatarajia kuwa Meya katika manispaa ya Ujerumani na kusema kuwa anataka kuleta ukarimu,bidii na uwajibikaji wa kituruki kwa wananchi wote wa Offenbach Frankfurt.

Muhsin Senol mwenye umri wa miaka 44 aliyekuwa mshauri katika masuala ya fedha ndie mgombea pekee mwenyehistoria ya kijeshi katika mg'ang'anyiro huo.Uchaguzi utafanyika 10 Septemba.

Ripoti zinaonyesha kuwa Senol alihamia Ujerumani akiwa na umri wa miaka saba tu mwaka 1980 akiwa na baba yake .

Kwa mujibu wa habari,bwana Senol anagombea kwa niaba ya shirika la NGO lililoanzishwa nchini humo kwa ajili ya wakimbizi mnamo mwaka 2010.

Tume ya uchaguzi ya Offenbach mara nyingi huwapa kipaumbele wagombea kutoka nchi za Ulaya au wenye historia ya kijeshi.

No comments: