Friday, May 4, 2018

LEWANDOWSKI KUMUITA DYBALA ,MUNICH

 Iwapo  Bayern Munich watampoteza mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski, 29, mwisho wa msimu huu. (Bild, via Sun)  watawasilisha ombi la kutaka kumsajili mshambuliaji wa Juventus na Argentina Paulo Dybala, 24, 

Pia Arsenal imeibwaga Bayern Munich katika usajili wa beki kinda wa Uturuki mwenye umri wa miaka 21 Caglar Soyuncu, ambaye anaichezea klabu ya Freiburg nchini Ujerumani Bundesliga . (Evening Standard)

No comments: