Saturday, May 26, 2018

ARSENAL ,CHELSEA VITANI KWA SAINI YA JEAN MICHAEL

Arsenal na Chelsea wameingia katikabushindani kutoka Napoli na Borussia Dortmund ili kuipata saini ya kiungo wa kati wa Nice na Ivory Coast Jean-Michael Seri, 26.

Na Maajenti wa Marco Asensio wanasema Real Madrid wamekataa ofa mbili kutoka klabu za Premier League za thamani ya hadi pauni milioni 130 kwa mshambulizi mhispania mwenye miaka 22 ambaye amehusishwa na Manchester United na Chelsea.

No comments: