![]() |
JONAS MKUDE AKIWA NA WACHEZAJI WENZIE |
Simba itakichakaza bila kiungo wake Jonas Mkude ambaye anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano.
Aidha Mkude atalazimika kusubiri mechi dhidi ya watani zake wa jadi utakaopigwa Aprili 29 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Pia Kiungo James Kotei ndiye atakuwa mbadala wa Mkude katika sehemu ya kiungo kutokana na kufanana aina ya mchezo wanaocheza.
No comments:
Post a Comment