Friday, April 20, 2018

20 APRIL 2018, ANTONIO CONTE ,CHELSEA LAZIMA IKAZE NUSU FAINALI FA

Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte ,Chelsea lazima iwe tayari kukaza  mechi ya nusu fainali ya kombe la FA dhidi ya Southampton.
The Blues ambao ndio mabingwa watetezi wa ligi ya Uingereza ,watakabiliana na Southampton siku ya Jumapili.
Conte ambaye kikosi chake kiliishinda Burnley 2-1 ugenini katika ligi ya Uingereza siku ya Alhamisi alisema kuwa hatowasikiza wale wanaosema kwamba Chelsea tayari imejikatia tiketi ya fainali ya kombe la FA.
''Haitakuwa rahisi'', alisema Conte, ambaye alisema kwamba huenda akaanza na washambuliaji wawili katika mechi hiyo.

No comments: