Sunday, April 1, 2018

1 April 2018,ALIKIBA KUJA SOON NA NITAZIMIA

Taarifa tulizonazo hivi sasa ni kwamba Ali Kiba Yupo Dubai kwaajili ya kukamilisha kazi yake mpya inayoitwa nitazimia kwenye studio za @salproductionz zilizopo nchini humo.

Jamaa unaemuona na Ali hapo kwenye picha ndo producer wa kazi hiyo na tumejaribu kumfuatilia tumegundua amewahi kufanya kazi na wasanii wengi wakubwa duniani kama Criss Brown na wengine.








No comments: