Manchester United wamuangana na Liverpool katika kutafuta kiungo kutoka Napoli Jorginho, 26, meneja Jose Mourinho akiwa tayari kulipa paundi milioni 50 kwa ajili ya nyota huyo wa Mitalia (Star)
Wakala wa Mario Balotelli anasema mchezaji huyo aliyekuwa mshambuliaji wa Manchester City na Liverpool,aweza rudi majira ya joto na kucheza katika Ligi ya Premier (Mirror)
Aliyekuwa rais wa Barcelona Joan Laporta asema Arsenal yafaa kumteua Thierry Henry kama meneja wao (Telegraph - subscription required)
No comments:
Post a Comment