Sunday, March 18, 2018

18 March 2018,Ben Paul amaliza utata uliopo baina ya Mashabiki wa Fid Q na Joh Makini

Baada ya mashabiki wa muziki kuwa na timu zao kutomkubali fulani na kuona bora ni fulani, kusababisha matabaka katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini (BONGO F
FLEVA)

Hii imekuaja tofauti kwa kwa mahasimu wa Hip Hop nchini Fid q na Johmakini, Baada ya msanii wa rnb ,Ben Paul kuwakutanisha Katika wimbo mmoja

Ben Paul amefahamisha kupitia ukurasa wake wa Instagram Kuweka kava ya wimbo huo nakuandika
"Soon || Artwork",

Amewakutanisha manguli hao
katika remix ya wimbo wake wa Bado kidogo2 ambao upo karibuni kumalizika

Miongoni mwa wasanii watakaoshiriki katika ujio huo wa Bado kidogo 2 ni
VANESSA MDEE,JOH MAKINI,WILLY PAUL,ROMA,BILLNASS,FID Q,BARNABA,NANDY,WYSE ,JUX

No comments: