Tuesday, February 6, 2018

6 February 2018,Watu wasiopungua 30 wafariki,170 kujeruhiwa katika shambulio la anga nchini Syria

Watu 30 waripotiwa kufariki na wengine 170 wamejeruhiwa katika shambulizi la anga lililoendeshwa na jeshi la anga la Syria.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa katika eneo la tukio ni kwamba jeshi la anga la serikali ya Assad limeshambulia eneo la Ghuta Mashariki na kusababaisha maafa hayo.

Watu 10 wameuawa Beyt sava, 6 Zemalka, wanne Hamuriye na mmoja Hazze. Watu wengine 9 wameuawa Arbin.

No comments: