Thursday, February 15, 2018

15 February 2018,Raia sita mashariki mwa Ghouta wauawa vikosi vya Assad

Vikosi vya Assad vimeua raia sita wakiwemo watoto wawili katika mashambulizi ya ardhini na angani, mashariki mwa Ghouta.

Ripoti zimeonyesha kuwa makazi ya watu katika maeneo ya Duma mashariki mwa Ghouta yameathiriwa na mashambulizi hayo.

Ghouta mashariki ambayo ni makazi kwa raia takriban 400,000 imekuwa katika utawala mbovu kwa miaka mitano sasa.
Syria imekuwa katika migogoro toka mwaka 2011.

No comments: