Tuesday, February 13, 2018

13 February 2018,Fahamu kilichosimamisha muziki wa Matonya kwa muda

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Matonya asema kilichosimamisha muziki wake kwa muda  ni biashara

Matonya amebainisha haya leo wakati akitambulisha wimbo wake mpya wa kiherehere Planet Bongo,EaradiMATNilienda  kupanua wigo wa kazi zetu na ilikuwa muda muafaka kufika Kenya na kufanya biashara za kijasiliamal",.

"sikubalansi muda wangu wakati upi nafanya muziki na wakati wamambo mengine,

Pia Matonya ameeleza kuhusu show alizo zifanya Nairobi nchini Kenya kuwa  anafanya show tatu kwa wiki 

Show za Matonya alizozifanya Kenya zinapatikana katika ukurasa wake wa Instagram. MATONYAMBILI


No comments: