Kocha wa Chelsea Antonio Conte anasema wachezaji wake hawaathiriki kwa vyoyote na uvumi unazunguka hatma yake klabuni. (Sky SportChelsea)
wanaangalia uwezekano wa kumfuta Conte na mahala pake kumleta aliyekuwa meneja wa Watford Marco Silva katika mkataba wa muda. (Times)
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho anataka kuwashinda Manchester City katika kumsaini kiungo wa kati wa Real Madrid Isco. (Star)
Silva anaamini kuwa Neymar atasalia katika klabu hiyo. (Canal+ via Goal)
Meneja wa West Brom Alan Pardew anatepeleka kikosi chake nchini Uhispani kwenye joyo kwa mazoezi wakati wanajaribu kuzuiz kuondolewa kutoka kwa Ligi. (Telegraph)
No comments:
Post a Comment