Thursday, February 1, 2018

1 February 2018,Uturuki yapunguza ghasia nchini Syria

Uturuki ilianzisha operesheni Afrini nchini Syria kwa lengo la kuwaondoa magaidi na vitisho vyao mkani mwake na Syria.

Zaidi ya hilo jeshi la Uturuki limezidisha ulinzi katika mipaka yake na hali ya mvutano inayoripotia Idlib.

Hali ya mabadiliko katika eneo hilo naathiri kwa kiasi kikubwa matarajio ya Marekani.

Operesheni ya jeshi la Uturuki iliopewa jinala Tawi la Mzaituni bila shaka inadhofisha kwa kiasi kikubwa ushawishi na uwepo wa wanamgambo wa kundi la kşgaidi la PKK/PYD katika ukanda. Maeneo kama Manbij, Haseke , Raqqa na Deyr Ez-Zor wakazzi wa ke tayari wameanza kuonesha  kuchoshwa na vitendo vya wanamgambo hao.

Makaazi wa Manbij wameonesha msimamo wao dhidi ya kundi la YPG. Mazungumzo ya amani kuhusu Syria yalioandaliwa mjini Asatana kwa ushirikina kati ya Urusi na Iran, Marekani imeonekana kuunga mkono upande wa upinzani na kuwekwa kando.

Uwepo wa jeshi la Uturuki katika eneo la kimkakati Idlib ni kuonesha msimamo wenye nguvu wa Uturuki Syria.

Jeshi la Uturuki limefahamisha kuwa maendeleo ya kurishisha yanaonekana katika operesheni yake Syria.

Licha ya kuwa na ugumu uliosababishwa kşjieografia ya eneo hilo, jeshi la Uturuki  linazipi kusonga mbele katika operesheni yake nchini Syria dhidi ya ugaidi.

Operesheni katika eneo la milima Afrin hağo mwanzoni ilijadiliwa .

wanmagmbo wa kundi la PYD walikuwa na lengo laytaka kuwa ushawishi wa kisiasa katğka ukanda.
Kundi hilo la kigaidi lilikuwa likipata usaidizi wa kşjeshi kutoka Marekani.

Inahamika kuwa eneo ambalo lilikuwa ngome za wanamgambo wa YPG nchini Syria liliikuwa na jamii ya waarabu na waturkmen.

Baada ya wanamgambo wa kundi la Daesh kuondolewa katika eneo hilo maswali yaliibuka kuhusu kundi la wanamgambo  wa YPG.

Jamii ya waarabu , waturuki na waturkmen kwa ushirikino walisimama pamoja kupinga ugaidi na kukabiliana na magaidi.

No comments: