Watu 15 wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya basi iliotokea katika mto wa Adiake nchini Ivory Coast.
Basi moja lililokuwa na abiria 30 lilifanya ajali na kuangaka katika mto wa Adiake Ivory Coast ambapo watu wanne pekee ndio walionusurika huku wengine wasijulikane walipo.
Ajali hiyo imetokea usiku wa Jumanne kuamkia Jumatano. Katika mto huo unaopatikana katika umbali wa kilomita 2 Kusini mwa mji wa Adiake.
No comments:
Post a Comment