Jamii ya waislamu kutomka Myanmar Rohingya yaendelea kushambuliwa kwa mjumba yao kuchomwa moto.
Kumekuwa na kauli tofauti kuhusu hali halisi Rakhine kuwa wakimbizi wa jamii ya Rohingya wapo katika harakati za kurejea katika makaazi yao.
Jambo la kushangaza ni kuona kuwa majumba ya waislamu wa jamii ya Rohingya Rakhine yanachomwa moto.
Jamii ya Rohingya ilikimbilia nchini Bangladesh kutokana na mashambulizi ya wabuddha wakishirikina na jeshi la serikali.
Taarifa zinahakikisha kuwa mashambulizi dhidi ya Rohingya bado yanaendelea.
Zaidi ya watu 690 000 kutoka jamii ya Rohingya walikşmbilia nchini Bangladesh kunusuru maisha yao
No comments:
Post a Comment