Umoja wa Mataifa watoa msaada wa kiutu nchini Syria kwa watu wenye mahitaji.
Malori takriban 13 yenye misaada tofauti ya Umoja wa Mataifa yameonekana kuvuka mpaka wa Cilvegözü mkoani Hatay kuelekea nchini Syria mapema Jumatatu.
Malori hayo yamebeba bidhaa mahitaji kwa wakaazi wa Idlib na vijiji tofauti katika eneo hilo.
No comments:
Post a Comment