Msongamano wa watu umesababisha watu 10 kupoteza maisha huku wengine 50 wakiwa wamejeruhiwa nchini Bangladesh.
Kwa mujibu wa habari,msongamano na kukanyagana huko kwa watu kumetokea wakati chakula kikitolewa katika msiba wa aliyekuwa meya wa Chittagong ,Mohiuddin Chowdhury.
Famlia hiyo ilikuwa imendaa chakula kwa ajili ya watu 80,000 katika miji 12 tofauti.
Meya Mohiuddin Chowdhury73,alifariki siku ya Ijumaa.
No comments:
Post a Comment