Polisi nchini Kenya wamelazimika kufyatua risasi angani katika hatua za kutuliza waandamanaji waliokuwa wamejikusanya mbele ya uwanja wa ndege mjini Nairobi.
Kwa mujibu wa habari,waandamanji hao walijikusanya kumpokea kiongozi wa upinzani Raila Odinga aliyekuwa ameenda katika ziara nchi za nje.
Licha ya maafisa usalama kujaribu kupunguza ghasia hakuna mtu aliyesogea kwani watu waliendelea kujikusanya.
Raila Odinga,ni kiongozi wa upinzani aliyeususia uchaguzi wa mara ya pili nchini Kenya.
No comments:
Post a Comment