Watu wanne waripotiwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa katika makabiliano ya silaha karibu na shule ya msingi Tehama Kaskazini mwa jimbo la California.
Taarifa hiyo ilitolewa na na vyanzo vya habari katika jimbo hilo.
Kituo cha afya cha Enloe kilitoa taarifa iliorushwa na tovuti ya Action News Now kikifahamisha kuwa watu wanne wamepoteza maisha katika tukio hilo.
No comments:
Post a Comment