Rais wa Zanzibarna Mwenyekitiwa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein amesema serikaliya mapinduzi ya Zanzibar itaanza kutoa elimu ya sekondari bila malipo kuanzia mwaka 2018.
Rais Dkt Shein ametoa kauli hiyo mjini Unguja katika hafla ya kuwapongeza wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihaniyao ya kidato cha nne na cha sita.
Ameongeza kuwa Serikaliya Mapinduzi ya Zanzibar,kwa mwaka huu itatoa nafasi15 za ufadhiliwa masomo kutoka nafasi kumi ambazo zilitolewa mwaka jana.
Aidha Rais Dkt shein ametoa wito kwa wanafunzi watakaopata ufadhilinje ya Zanzibar kurudi nyumbani mara baada ya mafunzo yao ili kulitumikia taifa.
Baadhiya wanafunzi walioshiriki katika khafla hiyo wamemshukuru Rais na kuahidikusoma kwa bidi ilikulitumikia taifa.
Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idd pamoja na vingozi wengine wa serikali visiwanihumo.

No comments:
Post a Comment