Wakimbizi wengi kutoka Somalia wasiokuwa na vibali halisi vya ukimbizi wamekamatwa kusini mwa Hadhramaut nchini Yemen.
Kwa mujibu wa habari,wakimbizi 200 kutoka Somalia wamekamatwa Hadhramaut wakiwa wanaelekea katika wilaya ya Brom Mayfa.
Ripoti zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya wanawake na watoto wamefika Yemen kwa njia ya maji.
Wakimbizi hao wamepelekwa katika kambi ya wakimbizi kutoka Africa nchini Yemen.
On Tuesday, the International Organization for Migration announced that 133 refugees had voluntarily returned from Yemen to their homes in Somalia.
Mwezi uliopita shirika la UNHCR lilitangaza kuwa ni takriban wakimbizi 30,000 wameingia nchini Yemen toka kuanze kwa mwaka 2017.
Hata hivyo wakimbizi wengi hukaa muda mchache nchini Yemen kabla ya kuelekea Saudi Arabia.
No comments:
Post a Comment