Wanafunzi 7 waripotiwa kuafariki katika ajali ya moto iliotokea katika shule ya upili mjini Nairobi nchini Kenya
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na wizara ya elimu mjini Nairobi, wanafunzi 7 wamefariki katika ajali ya moto iliotokea katika bweni la wanawake katika shule ya upili ya Moi.
Ajali hiyo ya moto imetokea majira ya usiku.
Hakuna taarifa zaidi zilizotolewa kuhusu sababu za moto huo ila uchunguzi bado unafanyika.
Wanafunzi wengine 9 wamejeruhiwa vikali na kupelekwa katika hospitali ya Kenyatta kupewa matibabu.
No comments:
Post a Comment