Mbunge wa Singida mashariki na mwanasheria mkuu wa chama cha Demokrasia na maendeleo, (CHADEMA) TUNDU LISSU ameachiwa kuwa huru kwa dhamana
Kwa mujibu wa Mwananchi wakili wake PETER KIBATALA amesema ameachiliwa kwa dhamana na atatakiwa kurejea tena ijumatatu
Baada yakutoka ndani ya kituo cha polisi Lissu hakutakiwa kuzungumza kutokana na masharti ya dhamana, nakumlazimu kuelekea kwenye gari la wakili wake
"Lissu anatuhumiwa kwa uchochezi na kumkashfu Rais", alisema Kibatala
No comments:
Post a Comment