Wednesday, August 16, 2017

16 August 2017, Shambulizi la kujitoa muhanga laua 27 Nigeria

Mtu mmoja amejitoa muhanga na kujilipua katika moja ya soko nchini Nigeria.

Katika shambulizi hilo watu 27 wamepoteza maisha na huku wengine 83 wakiwa wamejeruhiwa.
Shambulizi hilo limetokea katika kijiji cha Konduka kilicho karibu na sehemu kundi la kigaidi la Boko Haramu linapofanyia shughuli zake.

Hata hivyo inasemekana mwanamke aliyejilipua anaweza kuwa na uhusiano na Boko Haram.

No comments: