Mapigano ya kikabila yasababisha vifo vya watu 38 Sudan Kusini
Watu 38 wamefariki katika mapigano ya kikabila yaliotokea Jumatatu na Jumanne Sudan Kusini.
Polisi ya kulinda usalama ilifahamisha pia kuwa watu wengine 42 walijeruhiwa katika mapigano hayo.
Mapigano hayo yalitokea katika eneo la Cueibet ambapo taarifa zinasema kuwa huenda ni kulipiza kisasi.
Jamii tofauti nchini Sudan Kusini hupambana kutokana na umeliki wa ardhi kati ya jamii ya wafugaji na wakulima.
No comments:
Post a Comment