Marekani imeahidi kuunda jimbo chini ya uongozi wa PYD katika kanda ya kaskazini mwa Syria .
Taarifa hiyo imetolewa baada ya mkutano wa viongozi wakuu wa Pentagon pamoja naa viongozi kadhaa wa kundi la kigaidi la PKK maeneo ya Raqqa .
Jimbo hilo litaundwa naadni ya muda waa miezi 6.
Ajenda kuu ya mkutano huo ilikuwa kuhusu uundaji waa jibo hilo katika kanda hiyo ya nchi ya Syria .
Marekani imeahidi kuunda jimbo hilo litakalotambulika kimataifa .
No comments:
Post a Comment