Tuesday, August 1, 2017

1 August 2017, Kundi la wanamgambo wa Daesh lajinasibu kuhusika na shambulizi lililolenga ubalozi wa Iraq mjini Kabul


Kundi la wanamgambo wa Daesh lajinasibu kuhusika na shambulizi lililolenga ubalozi wa Iraq mjini Kabul

Wanagmbo wa kundi la kigaidi la Daesh wamejinasibu kuhusika na shambulizi lililolenga ubalozi wa Iraq mjini Kabul Jumatatu.

Vyanzo vya habari vilivyokaribu na kundi hilo viltangaza kuwa wahanga wawili waliendesha shambulizi hilo mbele ya mlango wa ofisi za ubalozi wa Iraq mjini Kabul nchini Afghanistan.

Vile vile vyanzo vya habari nchini Afghanistan vilifahamisha kuwa makabiliano bain aya Polisi na magaidi yaliripotiwa baada ya shambulizi hilo.

No comments: