Wednesday, July 26, 2017

KIUMBE CHA AJABU CHAVAMIA DALADALA

Ukistaajabu ya Musa Ya Firauni yanakuja hivyo ndivyo wasemavyo wahenga wetu,
Kiumbe cha ajabu leo kilizua kizaa zaa katika mji mmoja uliopo kaskazini mwa kenya baada ya kupanda daladala iliyokuwa ikipita kando na makaburi ya mashujaa wa maumau, kutoka kwa shuhuda wetu...

No comments: