Friday, September 1, 2017

1 September 2017, Zaidi ya watu 100,000 wathiriwa na mafuriko Nigeria

Watu zaidi ya 100 ,000 waathirika na mafuriko yaliokumba jimbo la Benue

Mafuriko hayo yamesababisha uharibifu katika neno hilo ambapo majumba kadhaa yaliporomoka kutoka maji.

Msemaji wa rais Garba Shehu alifahamisha hapo Alhamis kuwa idadi ya watu hao walioathirka na mafuriko ilitokea katika vitongoji 12.

Shirika la kitaifa la kutoa misaada katika matukio ya dharura nchini Nigeria NEMA liliwasili katika maeneo tofauti yaliokumbwa na mafuriko ili kuokoa raia.

No comments: