Wednesday, December 13, 2017

13 December 2017,Serikali ya Saudi Arabia yalaani uamuzi wa Trump juu ya Jerusalem

Mfalme wa Saudi Arabia alaani uamuzi wa Trump kutangaza serikali yake kutambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

Mfamle wa Saudi Arabia alaani uamuzi wa Trump kuhusu Jerusalem , uamuzi ambao unakiuka mikataba ya kimataifa ya kihistoria na kuwanyima wapalestina haki yao.

No comments: