Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnams yuko karibuni kuachia album yake mpya ya A Boy from Tandale
Diamond kabainisba haya hii leo kupitia ukurasa wake wa Instagram
"Just few days left before launching my album in Nairobi on 14th March 2018. Although it's jus for the invitees Only, but i wanna give opportunities to my Lucky fans to attend...and for those won't get invitation at all, we will all link up at the after party....Details of how to win tickets coming soon.... #ABoyFromTandale #SongaBySafaricom @safaricomltd https://www.instagram",.ameandika
Pia Diamond amezidi kujenga historia matika muziki wake baada ya kuchaguliwa kuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbwiza katika ufunguzi wa kombe la dunia hivi karibuni nchini Urusi
No comments:
Post a Comment