Msaanii wa muziki wa kizazi kipya Bakari Batuti almaarufu Beka Flavour aweka wazi kiwango cha fedha anacholipwa kwa show moja.
Ameyaeleza haya hii leo kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorusha na Earadio " mtu anatulipa milioni tano kuna muda ukitaja kuna mapromota wanafika mpaka milioni kumi kwahio inauma",.
Aidha Beka ameeleza kuhusu maudhui ya wimbo wake mpya wa Kibenten nakusema unazungumzia wakina mama wanaoingia katika mahusiano na vijana wadogo ambapo maranyingi huwatumikisha .
video ya wimbo wake wakibenten unapatikana YouTube katika channel take. BekaFlavour.
No comments:
Post a Comment